Maisha Halisi ya Picha yako ya Kujipiga

Kila unapopakia mtandaoni picha yako ya kujipiga, programu ya kutambua sura inaweza kukusanya seti ya data ya kipekee kuhusu uso wako. Data hii inaweza kutumiwa kwa njia nyingi, hata bila ufahamu wako.

banner with selfie graphics